
YANGA YATHIBITISHA KUACHANA NA KIUNGO MSHAMBULIAJI AUGUSTINE OKRAH
Klabu ya Yanga imethibitisha kuachana na kiungo mshambuliaji Augustine Okrah hivyo hatakuwa sehemu ya kikosi chao msimu ujao 2024-2025. Okrah raia wa Ghana alitua Young Africans Januari 2024 akitokea Bechem United ya Ghana na kuitumikia timu kwa kipindi cha miezi sita akifanikiwa kufunga bao moja tu. Okrah ambaye pia alipitia Simba Sc akisajiliwa kutoka kutoka…