
YANGA YAWAINGIZA KMC KWENYE MTEGO
UONGOZI wa Yanga umewaingiza kwenye mtego wapinzani wao KMC kuelekea kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex kwa kuwaambia kwamba itapata ushindi wa pili kwenye mchezo wao ikiwa watafunguka. KMC baada ya kucheza mechi nne imeambulia ushindi kwenye mchezo mmoja na ilipoteza kwa kufungwa mabao 4-0 dhidi ya Azam FC…