
YANGA KUMALIZANA NA MSHAMBULIAJI HUYU
UONGOZI wa Yanga umebainisha kuwa kuna wachezaji ambao watatambulishwa ndani ya kikosi hicho wakiwa na uwezo mkubwa jambo litakaloongeza nguvu kuelekea msimu wa 2024/25. Yanga inanolewa na Kocha Mkuu Miguel Gamondi msimu wa 2023/24 safu ya ushambuliaji ilifunga jumla ya mabao 71 na kinara alikuwa ni Aziz Ki aliyefunga mabao 21. Kwa upande wa maingizo…