
SINGIDA FOUNTAIN GATE SIO KINYONGE
UONGOZI wa Singida Fountain Gate umeweka wazi kuwa kwa msimu wa 2024/25 wataanza kazi kwa nguvu na sio kinyonge kwenye mechi tano za mwanzo ndani ya Ligi Kuu Bara. Ipo wazi kwamba msimu wa 2023/24 haukuwa bora kwa timu hiyo iliyogotea nafasi ya 11 baada ya mechi 30 ilikomba pointi 33 ilishinda mechi 8 iliambulia…