
MPANZU NI MALI YA SIMBA
WINGA raia wa DR Congo Ellie Mpanzu rasmi amemalizana na Simba kwa kusaini dili la miaka miwili kuitumikia timu hiyo ambayo inanolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids. Ikumbukwe kwamba Septemba 22 Mpanzu alikuwa Uwanja wa Mkapa kushuhudia timu hiyo ikicheza mchezo wa raundi ya pili Kombe la Shirikisho kusaka mshindi wa kutinga hatua ya makundi…