
AIR MANULA AREJEA AZAM FC AKITOKEA SIMBA SC
AIR Manula amerejea ndani ya kikosi cha Azam FC akitokea kwa waajiri wake Simba SC akiwa mchezaji huru. Mkataba wa Air Manula na Simba SC ilikuwa mpaka 2025 tayari umegota mwisho. Kwa msimu wa 2025/26 atakuwa ndani ya Azam FC, matajiri wa Dar mpaka 2028 akitimiza majukumu yake kwenye eneo la mlinda mlango. Msimu wa…