
RATIBA YA LIGI KUU BARA BONGO HII HAPA
BURUDANI ya Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo inadhaminiwa na NBC inarejea kwa mara nyingine tena baada ya muda kidogo kusimama kutokana na ratiba ya Mapinduzi Cup na Fainali za Mataifa ya Afrika, kwa wachezaji wa Ndani, (CHAN) ambapo Tanzania ni wenyeji. Hapo awali ilitarajiwa kuwa ingerejea Machi Mosi na mechi za mwisho ilikuwa ni Desemba…