
YANGA HAWAKUTARAJIA, KURUDI TENA UGENINI KIMATAIFA
KOCHA Mkuu wa Yanga, Sead Ramovic amesema kuwa matokeo ambayo wameyapata ugenini kimataifa walikuwa hawajatarajia hivyo watafanyia kazi makosa kuwa bora kwa mechi zijazo kitaifa na kimataifa. Yanga haijaanza kwa mwendo mzuri kimataifa hatua ya makundi kwenye mechi mbili mfululizo ikipoteza pointi sita msimu wa 2024/25 kituo kinachofuata itakuwa ugenini dhidi ya TP Mazembe. Ikumbukwe…