
BOSI SIMBA SC AMETOA ANGALIZO KWA WATANI ZAO WA JADI
AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba SC amesema kuwa kadri wapinzani wao wanavyozidi kuchelewa kucheza na timu hiyo watakutana na wachezaji wakiwa kwenye ubora mkubwa zaidi ya sasa. Mchezo unaofuata kwa Simba SC kwenye ligi ni dhidi ya Yanga SC unaotarajiwa kuchezwa Juni 15 2025 baada ya Bodi ya Ligi Kuu…