
JKT TANZANIA WAISUBURIA YANGA NUSU FAINALI
WAJEDA JKT Tanzania wanasubiri mshindi wa mchezo wa hatua ya robo fainali ya Aprili 15 2025 kati ya Yanga dhidi ya Stand United unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa KMC Complex. Ikumbukwe kwamba JKT Tanzania inaingia kwenye orodha ya timu pekee iliyoambulia sare mbele ya mabingwa hao watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo ni namba nne…