
MKALI WA KUCHEKA NA NYAVU BONGO HUYU HAPA
CLEMENT Mzize ni mshambuliaji namba moja ndani ya kikosi cha Yanga katika eneo la utupiaji akiwa amefunga jumla ya mabao 9 kati ya 42 yaliyofungwa na timu hiyo. Mzize anaongoza chati ya watupiaji kwa idadi hiyo akifuatiwa na Elvis Rupia wa Singida Black Stars mwenye mabao 8 kama Ateba wa Simba. Katika mabao 9 Mzize…