
NYOTA HAWA AZAM FC WAANDALIWA KUIMALIZA SIMBA
MASTAA wawili ndani ya kikosi cha Azam FC kwenye safu ya ushambuliaji wanaandaliwa kuimaliza Simba kwenye hatua ya nusu fainali. Mabingwa watetezi wa taji hilo ni Yanga ambao walipata ushindi dhidi ya Coastal Union ya Tanga kwenye mchezo wa fainali. Ni nusu fainali ya Kombe la Azam Sports Federation mchezo unaotarajiwa kuchezwa Mei 6,2023 pale…