
KIMATAIFA KAZI KUBWA IFANYIKE, MUDA NI SASA
KAZI kubwa inapaswa kufanyika kwenye anga la kimataifa kwa wawakilishi wetu kufanya kweli kwenye kusaka matokeo. Kila timu inatambua kwamba ushindani ni mkubwa hivyo muhimu kujituma bila kuchoka katika kutimiza majukumu ndani ya dakika 90. Malengo ya msimu uliopita ni muhimu kuyatazama na kujua ni wapi yalipoishia kisha kuanza upya pale ambapo yalikwama kwenda…