WALIOPO MKIANI MUHIMU KUPAMBANIA KOMBE

MUDA wa kufanya kazi kubwa ya kujitoa kwenye nafasi zile za mwisho wengi hupenda kuita mkiani inatosha kwa kuanza kuleta ushindani wa kweli. Ipo wazi kwamba kila timu inahitaji kupata matokeo mazuri lakini inakwama kutokana na kukutana na ushindani mkubwa zaidi. Muda uliopo kwa sasa ni kufanya malipo stahiki kwa muda ili kuwa kwenye ubora…

Read More

SIMBA WAIREJESHA TUZO KWA MASHABIKI

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa tuzo ya mashabiki bora ambayo wamepata kutokana na kushiriki michuano ya African Football League ni heshima kubwa kwao. Ikumbukwe kwamba Simba iligotea hatua ya robo fainali kwa kuondolewa na Al Ahly ya Misri. Baada ya kutwaa tuzo hiyo walibainisha kuwa ni ya kila shabiki wa Simba. Novemba 11 Simba…

Read More

HAWA HAPA MABINGWA WA AFL

Mabingwa wa African Football League ñi Mamelod Sundown ya Afrika Kusini mbele ya Wydad Casablanca. Katika fainali ya leo ubao umesoma Mamelod 2-0 Wydad na kuwafanya watwae ubingwa kwa jumla ya mabao 3-1. Bao la Peter Shalulile dakika ya 45 liliwaongezea nguvu vijana hao ambao walipachika bao ka pili dakika ya 53 kupitia kwa Modiba….

Read More

YANGA YARIPOTIWA KUMSAJILI KIUNGO MKATA UMEME WA IVORY COAST

Klabu ya Yanga imeripotiwa kuwa ukingoni kukamilisha dili la kumsajili kiungo mkata umeme kutoka Ivory Coast, Djire Abdoulaye kutoka klabu ya Racing Club Abidjan. Young Africans SC inahitaji kiungo mwingine mkabaji haraka iwezekanavyo ikiwa ni pendekezo la kocha Miguel Gamondim Abdoulaye (17) anatazamiwa kukubaliana pia masharti ya kibinafsi na Young Africans licha ya msururu wa…

Read More

DEREVA WA CHINO AFARIKI

DEREVA aliyekuwa akiendesha gari alilokuwa akisafiria msanii na dansa maarudu, Chino Kid aitwaye Nabeel, amefariki dunia akiwa anapatiwa matibabu, kutokana na majeraha aliyoyapata kwenye ajali hiyo. Mmoja wa watu wa karibu wa Chino Kid, Prodyuza Abbah Process kupitia akaunti zake za mitandao ya kijamii, ameandika: ‘Rest in Peace Brother, tumepoteza mwanafamilia mmoja aliyekuwa kwenye ajali…

Read More

MERIDIANBET KUNA MGAO WA 800,000/= TZS UNAKUSUBIRI

Michezo kabambe ya kasino mtandaoni kutoka Expanse itakufanya kuvuna bonasi kuanzia TZS 100,000/= kwenye mgao wa TZS 800,000/= Mwezi huu wa Novemba. Ukiachana na sloti kibao ikiwemo michezo ya kasino mtandaoni rahisi kabisa kupiga pesa kama Aviator mchezo pendwa, Roulette na Poker, katika promosheni hii ya Expanse Casino 9.0 mchezaji atakayecheza michezo ifuatayo atajiweka kwenye…

Read More

PUMZIKA KWA AMANI RAPHAEL DWAMENA

Mshambuliaji wa Timu ya Taifa ya Ghana, Black Stars, Raphael Dwamena amefariki dunia baada ya kuanguka uwanjani  wakati wa mechi kati ya timu yake ya Egnatia Rrogozhine ya nchini Albania dhidi ya Partizani. Mtandao wa soka wa Citi Sport umeripoti kuwa habari za kifo chake zimekuja baada ya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28…

Read More

MAMBO MAGUMU KWA MBABE WA YANGA

MBABE wa Yanga anayekipiga ndani ya kikosi cha Azam FC, Suleiman Abdallah, (Sopu) mambo kwake ni magumu ndani ya msimu mpya wa 2023/24 kwa kukosa zali la kucheka na nyavu kama ambavyo alianza msimu uliopita. Mechi nne kapata zali la kuanza kikosi cha kwanza ndani ya Azam FC ambazo ni sawa na dakika 360 chini…

Read More

TAIFA STARS WAANZA KAZI KAMBINI

BAADA ya kuripoti kambini nyota wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars wameanza rasmi mazoezi kwa ajili ya kuwa fiti kwa mechi za ushindani. Ni Novemba 11 rasmi walianza mazoezi hayo ikiwa ni kuelekea kwenye mechi mbili ngumu na zitakazokuwa na ushindani mkubwa. Hizo ni kwa ajili ya mechi mbili za kufuzu Kombe la…

Read More

YANGA WABADILI HESABU, MIPANGO IPO HIVI SASA

Kocha Mkuu Yanga, Miguel Gamondi ameweka wazi kuwa hesabu zake kwenye anga la kimataifa kwa ajili ya mechi  za Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya CR Belouzdad inayonolewa na  Mbrazili Marcos Paqueta aliyechukua nafasi ya Sven Vandebroeck zimeanza sasa. Sven kwa sasa ni kocha huru ambapo anatajwa kwamba yupo kwenye hesabu za kurejea ndani ya…

Read More

MERIDIANBET CHIMBO PEKEE LA KUPIGA MKWANJA WIKIENDI HII

Ni hivi hakuna kukaa kinyonge wikiendi hii kwani ligi mbalimbali barani ulaya zimerejea na una nafasi ya kupiga mkwanja wa kutosha kupitia Meridianbet kupitia michezo hiyo. Kukosa maokoto ni wewe tu utakua umetaka kwani mabingwa wa michezo ya kubahatisha kampuni ya Meridianbet wamekuwekea ODDS KUBWA na bomba katika michezo inayopigwa wikiendi hii katika ligi mbalimbali barani ulaya. Pia kumbuka…

Read More

TANZANITE QUEENS TAYARI KUWAKABILI NIGERIA

WACHEZAJI wa timu ya taifa ya Wasichana chini ya miaka 20, Tanzanite Queens wanaendelea na maandalizi ya mwisho. Timu hiyo chini ya Kocha Mkuu Bakari Shime ina kibarua cha kusaka ushindi mchezo dhidi ya Nigeria. Huo ni mchezo wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex, Novemba 12. Ikumbukwe kwamba Tanzanite…

Read More

JUDE NA CR 7 MECHI ZAO 10 WALIVYOKIWASHA

Jude Bellingham amekuwa na mwanzo wa kushangaza pale  Real Madrid, lakini unajua kuna rekodi amevunja baada ya mechi 10 ukimlinganisha na  Cristiano Ronaldo? Ronaldo ndiye lejendi wa Real Madrid akiitumikia klabu hiyo na kuipa mafanikio makubwa ikiwemo rekodi ya kufunga mabao 450 aliyofunga sambamba na kushinda mataji mengi. Real Madrid hakushinda taji lolote msimu wa…

Read More

BET WINNER KUTOA SH 390,000 KWA MTEJA MPYA

KAMPUNI ya michezo ya kubahatisha, Bet Winner kupitia promo code ya CHAMA inakupa nafasi ya kupata bonasi hadi Shilingi 390,000 punde utakapojiunga na kuweka salio kwenye akaunti yako Hii ni kubwa kutokea ambapo kila mteja mpya anapewa shilingi 390,000 muda mfupi baada ya kujiunga.. Bet Winner ambayo kwa sasa inakimbiza kwenye soko la wanaobet mtandaoni,…

Read More

KOCHA ALIYETIMULIWA SIMBA ATAJA TATIZO LILIPO

Mchambuzi Nguli wa maswala ya soka nchini Saleh Ally Jembe amesema kuwa alipata bahati ya kuonana na aliyekuwa kocha mkuu wa Simba, Roberto Oliveira na kutaja tatizo lilipo. Ikumbukwe kwamba Oliveira alikuwa ndani ya kikosi cha Simba alipochukua mikoba ya Zoran Maki ambaye alibwaga manyanga muda mfupi baada ya kuwa na timu hiyo. Mchezo wa…

Read More

GAMOND AJA NA JAMBO HILI KUHUSU WAFUNGAJI

MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga, amesema kuwa hawapi majukumu washambuliaji pekee kufunga ndani ya kikosi hicho bali kawapa uhuru wachezaji wote kufunga. Ikumbukwe kwamba, Yanga ini namba moja kwa kufunga mabao mengi ikiwa imetupia mabao 26 baada ya kucheza mechi 9. Gamondi amesema kuwa wachezaji wote wana kazi ya kutafuta matokeo uwanjani, hivyo ni…

Read More