
AZAM FC YAZITAKA POINTI TATU ZA GEITA GOLD
MATAJIRI wa Dar Azam FC wanazipigia hesabu pointi tatu za Geita Gold kuelekea mchezo wao ujao wa Ligi Kuu Bara. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Februari 16 Uwanja wa Azam Complex. Yusuph Dabo, Kocha Mkuu wa Azam FC mchezo wake uliopita ilikuwa ni kiporo ambapo waligawana pointi mojamoja na Simba. Katika mchezo huo baada ya dakika…