
SOPU AMEWAKA, AZAM FC YAFUNGA 10 NDANI YA DAKIKA 180
ABDUL Sopu nyota wa Azam FC anayevaa uzi namba 9 utambulisho wake akiwa uwanjani amezidi kurejea katika ubora katika mechi za mzunguko wa pili baada ya kuwa nje kwa muda katika mzunguko wa kwanza. Wakati Azam FC ikivuna pointi tatu mbele ya Tabora United Juni 18 2025, ubao wa Uwanja wa Azam Complex uliposoma Azam…