YANGA DHIDI YA SINGIDA FOUNTAIN GATE KUNA KITU KIZITO
RIPOTI mbaya haipendezi kwa anayeipata ajabu yule anayesababisha hayo yatokee kwake ni burudani kupata kile ambacho alikuwa anakitaka mwisho wa mchezo huku kukiwa na mtu ambaye alipigwa na kitu kizito. Singida Fountain Gate hawakuwa na bahati kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Yanga walipopoteza pointi tatu muhimu Uwanja wa Mkapa ilikuwa Oktoba 27 2023. Baada…