
YANGA: TUNAGUSA MAISHA YA KILA MTANZANIA
RAIS wa Klabu ya Yanga na Mwenyekiti wa Shirikisho la Vilabu Afrika, Injinia Hersi Said amebainisha kuwa timu ya Yanga inagusa maisha ya kila Mtanzania. “February 11, mwaka huu, Yanga ilitimiza miaka 89 tangu kuanzishwa kwake. Ni Klabu kongwe zaidi ya mpira wa miguu Tanzania na ilishiriki kwenye harakati za Uhuru wa Taifa letu. Ni…