
UZINDUZI WA MSIMU WA PILI WA MASHINDANO YA GOFU YA NCBA YAONGOZANA NA UPANDAJI MITI ARUSHA
Arusha, Tanzania — Juni 29, 2024, Benki ya NCBA Tanzania imezindua rasmi msimu wa pili wa mashindano ya gofu ya NCBA. Mashindano haya yalifanyika kwenye uwanja wa gofu wa Gymkhana, Arusha. Mashindano ya mwaka huu yamelenga kuuinua mchezo wa gofu Tanzania, kama sehemu ya mkakati wa NCBA wa kutunza mazingira. Mashindano ya gofu ya NCBA…