WAKIELEKEA KUIVAA RUVU SHOOTING, SIMBA WAMTAMBULISHA KOCHA MPYA
WAKIWA wanaelekea katika mxhezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ruvu Shooting, tayari mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Simba wamemtambulisha kocha mpya mwingine. Ni Don Daniel De Castro ambaye anakuwa kocha wa viungo akichukua nafasi ya Adel Zraine raia wa Tunisia ambaye alifutwa kazi Novemba 26 kutokana na timu hiyo kuboronga katika Ligi ya…