MAKIPA PONGEZI MNASTAHILI,KAZI IINDELEE
KWENYE suala la kusaka ushindi uwanjani kuna wachezaji 11 ambao huwa wanapambana kwa ajili ya timu na ipo wazi ushindi unapatikana kwa ushirikiano wa kila mchezaji. Kwa habari ya timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kushindwa kupenya hatua ya mtoano wa Kombe la Dunia hiyo imeisha hakuna tutakachoweza kubadili zaidi ya maumivu. Tunajua kwamba…