AZAM FC YAGAWANA POINTI MOJAMOJA NA COASTAL UNION

JOHN Matambala, Kocha Msaidizi wa Azam FC amesema kuwa Coastal Union ilikuwa imara eneo la katikati huku akiwaomba mashabiki kuendelea kuwa wavumilivu. Machi Mosi, ubao wa Uwanja wa Azam Complex umesoma Azam FC 0-0 Coastal Union na kuwafanya wagawane pointi mojamoja. “Tumetoka kupoteza mechi,ninawapongeza Coastal Union kwa kuonyesha mchezo mzuri. Mashabiki wasikate tamaa,mpira upo hivyo…

Read More

LUSAJO BABA LAO KWA UTUPIAJI BONGO

MSHAMBULIAJI wa kikosi cha Namungo, Relliats Lusajo ni baba lao kwa utupiaji ndani ya Bongo katika Ligi Kuu Bara msimu wa 2021/22. Leo Machi Mosi anaanza mwezi mpya huku akiwa ni namba moja kwa kuwa ametupia mabao 10 akiwa na jezi ya Namungo FC. Kwa mujibu wa rekodi za Bodi ya Ligi Tanzania,(TPLB) nyota huyo…

Read More

WASHAMBULIAJI WAWILI WARUDI YANGA

WASHAMBULIAJI wawili ambao walikuwa nje kwa muda ndani ya kikosi cha Yanga wamerejea kikosini kwa ajili ya kuongeza nguvu kwenye kikosi hicho. Ni Yusuph Athuman ambaye alikuwa nje kwa muda akitibu majeraha ambayo yalikuwa yakimsumbua. Pia Crispin Ngushi naye pia amerejea kikosini kwa kuwa alikuwa anatibu majeraha pia. Athuman kwenye mchezo dhidi ya Kagera Sugar…

Read More

NYOTA DODOMA JIJI ALIYECHEZA YANGA AANZA KAZI

WAZIR Junior, ingizo jipya ndani ya kikosi cha Dodoma Jiji amefungua akaunit yake ya mabao kwa kutupia mbele ya Ruvu Shooting. Tayari ameanza kazi ya kucheka na nyavu na kituo kinachofuata ni mchezo wao dhidi ya Simba unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Machi 5. Katika mchezo wa mzunguko wa kwanza Dodoma Jiji ilipoteza kwa kufungwa…

Read More

AZAM FC:TUNA PRESHA KUBWA KWENYE LIGI

JOHN Matambala, Kocha Msaidizi wa Azam FC amesema kuwa wana presha kubwa kwenye ligi pamoja na mechi ambazo wanazicheza kwenye Ligi Kuu Bara. Leo Machi Mosi,2022 Azam FC itawakaribisha Coastal Union kwenye mchezo wa ligi unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex. Katika mchezo wa mzunguko wa kwanza walipokutana Uwanja wa Mkwakwani, Tanga, ubao ulisoma Coastal…

Read More

YANGA KUIFUATA GEITA GOLD FULL MUZIKI

HAJI Manara, Ofisa Habari wa Yanga ameweka wazi kuwa wapo tayari kwa ajili ya mechi zao zijazo na kurejesha shukrani kwa mashabiki ambao wamekuwa wakijitokeza kwa wingi uwanjani. Manara amesema:”Tunamshukuru Mungu kwa ajili ya matokeo ambayo tunayapata kwenye mechi zetu za Kombe la Shirikisho pamoja na mechi za ligi. “Ushindi huu unahanikizwa na kila Mwanayanga…

Read More

YANGA YASHINDA 3-0 KAGERA SUGAR

KIKOSI cha Yanga kimesepa na pointi tatu mbele ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Ni mabao matatu ambayo yamefungwa kwa Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi. Fiston Mayele ametupia mabao mawili na pasi moja ya bao, amefunga dk 30 na 50 pasi kampa mshikaji wake Said Ntibanzokiza…

Read More

MASTAA HAWA 6 WA YANGA KUIKOSA KAGERA SUGAR

DICKOSN Ambundo,beki wa Yanga ni miongoni mwa nyota ambao wataukosa mchezo wa leo Februari 27 dhidi ya Kagera Sugar. Job ambaye ni beki wa kati anaukosa mchezo wa leo kutokana na kuwa kwenye mwendelezo wa kutumikia adhabu ya kifungo cha mechi tatu ambacho alipata kutokana na kucheza mchezo usio wa kiungwana mbele ya Richardson Ng’odya…

Read More

UWANJA WA MKAPA YANGA V KAGERA SUGAR VITA YA KISASI

LEO Uwanja wa Mkapa itakuwa ni vita ya kisasi kwa Kagera Sugar inayonolewa na Kocha Mkuu Francis Baraza v Yanga inayonilewa na Nasreddine Nabi katika mchezo wa mzunguko wa pili. Yanga ni vinara katika mchezo wa kwanza walishinda bao 1-0 Uwanja wa Kaitaba na mtupiaji alikuwa ni Feisal Salum ambaye leo ataukosa mchezo kutokana na…

Read More