
KIUNGO RWANDA ATAMANI KUCHEZA NA FEI TOTO YANGA
KIUNGO mkabaji wa Kiyovu ya Rwanda, Mrundi, Ismail Nshimiyimana ‘Pitchou’, amefunguka kuwa, haitakuwa shida kwake kama ikitokea anapata nafasi ya kucheza sambamba na kiungo mshambuliaji wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei ToTo’ kutokana na uwezo mkubwa alionao licha ya kuheshimu uwepo wa Mganda, Khalid Aucho. Pitchou ametoa kauli hiyo kufuatia wiki iliyopita kufuatwa na Makamu Mwenyekiti…