CEO SIMBA,HAJI MANARA WAFUNGUKA BAADA YA KUITWA TFF
MTENDAJI Mkuu wa Klabu ya Simba Barbara Gonzalez na Ofisa Habari wa Klabu ya Yanga Haji Manara leo wametinga katika Ofisi za Shirikisho la Mpira Tanzania, (TFF) ambapo waliiitwa kwa ajili ya kuhojiwa na Kamati ya Maadili ya TFF. Kila mmoja kwa nyakati tofauti kaweka wazi kwamba hakuna jambo ambalo wanaweza kuzungumza mpaka pale taarifa itakapotolewa….