
BEKI MCONGO APEWA MIL 144 YANGA
UNAAMBIWA Yanga SC ilimshusha kimyakimya beki raia wa DR Congo, Joyce Lomalisa Mutambala na kumpa mkataba wa miaka miwili, huku kwa mwezi akitarajiwa kulipwa shilingi milioni sita. Kwa muda wa miaka miwili akiwa anaitumikia Yanga, jumla atakuwa amepokea mshahara wa shilingi milioni 144 hadi kumalizika kwa mkataba wake. Mutambala anajiunga na Yanga akitokea Bravos do…