
SAUTI:MASTAA YANGA WAOMBEWA ULINZI
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amewaombea ulinzi wachezaji wake ikiwa ni pamoja na Aziz KI, Bernard Morrison, Fiston Mayele wawapo uwanjani. Pia Nabi amesema kuwa ni muhimu kwa wachezaji wote kwenye ligi kulindwa.