SIMBA KWENYE DAKIKA 90 NYINGINE ZA KAZI LEO

KWENYE mchezo wa kirafiki dhidi ya Malindi uliochezwa Uwanja wa Amaan kipa namba tatu wa Simba, Ally Salim aliweza kuonyesha uwezo wake kwa kuanza kikosi cha kwanza. Leo Septemba 28,2022 kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda kina kazi ya kusaka ushindi kwenye mchezo mwingine dhidi ya Kipanga FC ndani ya dakika 90….

Read More

MALINDI YAWAIBUA KAPAMA NA BANDA, KESHO KAZI NYINGINE

PETER Banda na Nassoro Kapama wameibuliwa na Malindi FC kwenye mchezo wao wa kirafiki uliochezwa Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Kwenye mchezo huo uliochezwa juzi, ubao ulisoma Malindi0-1 Simba huku bao la ushindi likifungwa na Nassoro Kapama dakika ya 13. Bao hilo ni la kwanza kwa Kapama ambaye ameibuka ndani ya Simba akitokea Kagera Sugar na…

Read More

YANGA WATAMBA WANAPIGA POPOTE

HUKU wengi wakiamini Yanga SC kuanzia nyumbani katika mchezo wa hatua ya kwanza Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Hilal itawazuia kufuzu hatua ya makundi, kocha msaidizi wa timu hiyo, Cedric Kaze ameibuka na kushusha presha kwa kusema kikosi chao kinaweza kupata ushindi popote. Yanga ambao ni mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, wamefuzu…

Read More

MZAMIRU YASSIN AINGIA KWENYE VITA MATATA SIMBA

MASTAA watatu wa kikosi cha Simba wameingia kwenye fainali ya kuwania tuzo ya mchezaji bora kwa mwezi Septemba. Nyota hao wanawania Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mashabiki (Emirate Aluminium Profile Simba Fans Player of the Month) ambapo mshindi huchaguliwa na mashabiki. Ni mshambuliaji Moses Phiri na kiungo Clatous Chama hawa wote ni raia wa Zambia pamoja…

Read More