WINGA LA KAZI AFUNGUKA KUTUA YANGA

WINGA wa pembeni wa kimataifa wa Uganda, Allan Okello ameweka wazi kuwa tayari kujiunga na Yanga endapo viongozi wa timu hiyo watakuwa tayari kuhitaji saini yake na kufanya mazungumzo kwa ajili ya kukamilisha dili hilo.   Okello mwenye umri wa miaka 22 ni moja kati ya wachezaji bora chipukizi kutoka nchini Uganda mwenye uwezo mkubwa…

Read More

MGUNDA:MBEYA CITY NI WAGUMU

JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa aliweka wazi tangu awali kuwa mchezo wao dhidi ya Mbeya City utakuwa mgumu na matokeo ambayo wamepata yametokana na ushindani huo. Licha ya kupata bao la kuongoza dakika ya 14 Simba iliokota bao dakika ya 78 kupitia kwa Tariq Seif ambaye alifanya mpango wa timu hiyo kusepa…

Read More

AZAM FC KUKIPIGA NA COASTAL, KIINGILIO JEZI

NOVEMBA 27,2022 Azam FC itakuwa na kibarua cha kusaka ushindi dhidi ya Coastal Union. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex saa 1:00 usiku. Katika mchezo huo kiingilio ni uzi wa Azam FC kwa yule ambaye hana jezi hiyo akifika uwanjani watafanya mazungumzo kujua shughuli inakwendaje. Azam FC imekuwa kwenye mwendo mzuri msimu huu…

Read More

MBEYA CITY 0-1 SIMBA

KITASA wa kazi ngumu ndani ya kikosi cha Simba , Mzamiru Yassin amepachika bao la kuongoza ugenini. Dakika ya 14 usomaji wa ubao wa Uwanja wa Sokoine ulibadilika na kusoma Mbeya City 0-1 Simba. Bao la Mzamiru limepachikwa dakika ya 14 kwa pasi ya mshambuliaji John Bocco. Dakika 45 zimekuwa na ushindani mkubwa kwa kila…

Read More

YANGA WAREJEA DAR KAMILI KUIVAA MBEYA CITY

BAADA ya kumalizana na Dodoma Jiji kwa ushindi wa mabao 2-0 kikosi cha Yanga leo Novemba 23 kimerejea Dar kwa maandalizi ya mwisho dhidi ya Mbeya City. Ni Novemba 26 mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Mabao yote ya Yanga yalifungwa na mshambuliaji wao namba moja Fiston Mayele. Kipindi cha kwanza alifunga bao moja…

Read More

MGUNDA:WAKATI WA KIBU UNAKUJA

JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wakati wa kufunga kwa mshambuliaji wake Kibu Dennis unakuja. Nyota huyo msimu wa 2021/22 alikuwa mfungaji bora ndani ya kikosi cha Simba alipotupia mabao 8 kibindoni. Msimu huu hajafunga bao zaidi ya kutoa pasi moja ilikuwa kwenye mchezo dhidi ya Tanzania Prisons alipompa mshikaji wake Jonas Mkude….

Read More

SABABU ZA MATOLA KUCHELEWA KUSOMA

SELEMAN Matola, Kocha Msaidizi wa Simba amesema kuwa sababu kubwa ya yeye kuchelewa kusoma kozi ya ukocha Leseni A ya CAF anayoisomea kwa sasa ni upatikanaji wa nafasi hizo. Matola kwa sasa yupo masomoni akiendeleza ujuzi wake wa masuala ya ufundishaji ambapo gharama za malipo zinasimamiwa na waajiri wake Simba. Kocha huyo amesema:”Hizi kozi huwa…

Read More