
CCM KIRUMBA: GEITA GOLD 0-3 YANGA
UWANJA wa CCM Kirumba ubao unasoma Geita Gold 0- 3 Yanga ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Bara. Ni dakika ya 44 Pacome Zouzoa alianza kupachika bao na lile la pili ni mali ya Aziz KI dakika ya 45. Mpaka mapumziko kwenye mchezo huo wa mpira uliokuwa na ushindani mkubwa Yanga walikuwa wanashambulia kwa kasi…