
YANGA WAMEANZA KUIVUTIA KASI FAINALI
BAADA ya kuwa timu ya kwanza kutinga hatua ya fainali ya Ngao ya Jamii, kikosi cha Yanga kimeanza mazoezi kuelekea fainali. Dakika 90 Yanga ilikamilisha Agosti 9, 2023 kwa kushuhudia ubao wa Uwanja wa Mkwakwani, Tanga ukisoma Yanga 2-0 Azam FC. Mabao ya Yanga yalifungwa na Clement Mzize dakika ya 88 na Aziz KI dakika…