
ANACHOMOLEWA KIUNGO WA KAZI YANGA
IMEELEZWA kuwa kuna kiungo wa kazi ndani ya kikosi cha Yanga mwamba Pacome yupo kwenye hesabu za mabosi wa Simba ambao wanapambana kuboresha kikosi hicho kwa ajili ya kurejea katika ubora ndani ya msimu mpya wa 2024/25