
MABINGWA YANGA WATEMBEZA MKWARA
MABINGWA wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2023/24 Yanga wametembeza mkwara mwingine kwa kubainisha kwamba hesabu kubwa ni kutwaa taji la CRDB Federation mbele ya Azam FC. Ikumbukwe kwamba Yanga ni mabingwa watetezi wa taji hilo walitwaa mbele ya Azam FC kwenye fainali iliyochezwa Uwanja wa Mkwakwani kwa ushindi wa bao 1-0 huku mtupiaji akiwa…