HIVI NDIVYO VITA ILIMALIZWA KWA AZAM FC NA SIMBA

VITA ile iliyokuwa ikisaka mshindi mmoja ndani ya Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2023/24 imebaki gumzo baada ya kugota mwisho na mshindi kupatikana. Kwenye mechi 30 ambazo ni dakika 2,700 kila kona walikamatana jambo ambalo liliongeza ushindani ndani ya uwanja kwa wababe hao wawili Azam FC inayonolewa na Kocha Mkuu Yusuph Dabo na Simba…

Read More

SIMBA WATAJIWA BEI YA FEISAL KUTOKA AZAM

UONGOZI wa Azam FC umekubali kumuachia kiungo wake mshambuliaji, Feisal Salum kwenda katika klabu itakayomuhitaji katika msimu ujao kwa dau la Sh 5Bil. Kiungo huyo anatajwa katika usajili wa Simba ambayo imepanga kufumua kikosi chao na kukiimarisha ili kirejeshe makali yake msimu ujao. Simba ndani ya misimu mitatu mfululizo imeshindwa kubeba ubingwa wa Ligi Kuu…

Read More

ODDS KUBWA na Machaguo Zaidi ya 1000 Yapo Hapa

Mabingwa wa ubashiri Tanzania, Meridianbet inakwambia kuwa usiwaze kutafuta chimbo la kusuka jamvi lako leo hii. Mechi kibao za pesa zinachezwa kuanzia kule Brazil mpaka Argentina. Unasubiri nini? Ingia na usuke jamvi lako sasa. Argentine Liga Profesional kuendelea kwa michezo kadhaa saa 3:00 usiku Barracas Central atakuwa nyumbani kusaka pointi tatu dhidi ya CA Huracan…

Read More

REAL MADRID YATHIBITISHA KUMSAINI MBAPPE

Baada ya kuachana rasmi na Klabu ya Paris Saint-Germain akiwa mchezaji huru, Kylian Mbappe (25) amejiunga na kikosi cha Real Madrid baada ya kusaini Mkataba wa Miaka Mitano Real Madrid imethibitisha kumsaini Mbappe ikiwa ni siku chache baada timu hiyo kutwaa Kombe la Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA Champions League) kwa kuichapa Borussia Dortmund kwa…

Read More

MWAMBA HUYU HAPA KABEBA TUZO MEI

KATIKA mechi 7 ambazo ni dakika 630 Koch Mkuu wa Simba Juma Mgunda alikomba jumla ya pointi 19 ndani ya uwanja. Ni ushindi katika mechi sita na aliambulia sare moja ugenini ilikuwa Uwanja wa Kaitaba alipokomba pointi moja. Mechi zake ilikuwa ni Simba 2-0 Mtibwa Sugar, Simba 2-0 Tabora United, Azam FC 0-3 Simba, Simba…

Read More

SIMBA YATAJA SABABU YA HUZUNI KUTAWALA

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa ni huzuni kubwa imetawala kwa wakati huu kutokana na kushindwa kufikia malengo yao kwa asilimia kubwa msimu wa 2023/24. Ipo wazi kuwa ni namba tatu imegotea kwenye ligi ikiwa na pointi 69 tofauti ya mabao ya kufungwa na kufunga dhidi ya Azam FC iliyomaliza ikiwa nafasi ya pili kwenye…

Read More

YANGA YAFICHUA SIRI YA UBINGWA CRDB FEDERATION CUP

MIGUEL Gamondi Kocha Mkuu wa Yanga ameweka wazi kuwa ukomavu wa wachezaji wake kwa kukubali matokeo kwenye mchezo huo yaliwapa nguvu ya kuendelea kupambana mpaka mwisho wa mchezo. Ipo wazi kwamba Yanga ni mabingwa wa CRDB Federation Cup wakipeta mbele ya Azam FC matajiri wa Dar ambao walikuwa kwenye nafasi nzuri ya kutwaa taji hilo…

Read More

MWAKINYO AFUNGUKIA ISHU YAKE NA AZAM

BONDIA Mtanzania, Hassan Mwakinyo amewaomba radhi mashabiki wake kwa sintofahamu iliyojitokeza usiku wa Ijumaa ya Mei 31, katika ukumbi wa Warehouse Masaki ambako alitarajiwa kupigana na Mghana, Patrick Allotey na jambo hilo kushindikana dakika za mwisho za usiku ule. Kutokana na sintofahamu hiyo, Mwakinyo kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii, amesema hakuna shida yoyote…

Read More