
BEKI MKALI WA MABAO AZAM FC HUYU HAPA KUKABILIANA NA YANGA
PASCAL Msindo beki wa Azam FC ameweka wazi kuwa kazi kubwa ambayo wanafanya kwenye mechi zote zilizopo mbele yao ni kusaka pointi tatu muhimu kwa kushirikiana na wachezaji wote. Azam FC itawakaribisha Yanga Aprili 10 2025 kwenye Mzizima Dabi mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex ikiwa ni mzunguko wa pili baada ya ule mzunguko…