
MTIBWA SUGAR WAMEANZA KAZI
UONGOZI wa Mtibwa Sugar umebainisha kuwa haujamaliza kazi ya kutambulisha nyota wapya kutokana na kujipanga kuwa tofauti. Timu hiyo imeweka kambi Morogoro kwenye Uwanja wa Manungu na jana ilitarajiwa kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya KMC, Uwanja wa jamhuri. Ofisa Habari wa Mtibwa Sugar, Thobias Kifaru amesema kuwa walikuwa kimya kwa muda wakikamilisha utaratibu wa…