
MAMELODI SUNDOWNS YAPIGWA NJE NDANI, ESPERANCE YATINGA FAINALI
Wababe wa Yanga Sc, Mamelodi Sundowns wamesukumizwa nje ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kufuatia kipigo cha jumla cha 2-0 dhidi ya vigogo wa Tunisia, Esperance Tunis kwenye hatua ya nusu fainali. FT: Mamelodi Sundowns ?? 0-1 ?? Esperance (Agg. 0-2) ⚽ Bouchniba 57’ Esperance watachuana na wababe wa Simba Sc, Al Ahly kwenye…