Simba SC vs Nsingizini Hotspurs, wanatarajiwa kukutana leo Oktoba 26,2025 kwenye mchezo wa CAF Champions League ikiwa ni mchezo wa maamuzi timu ipi ambayo itatinga hatua ya makundi.
Hapa tunakuletea matokeo ya mechi zilizopita kwa Simba SC ya Tanzania namna hii:-
Nsingizini Hotspurs 0- 3 Simba SC, Oktoba 19,2025. Ligi ya Mabingwa Afrika.
Oktoba Mosi 2025, Simba SC 3-0 Namungo FC, mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara.
Septemba 28 2025, Simba SC 1-1 Gaborone United, Ligi ya Mabingwa Afrika.
Septemba 25 2025, Simba SC 3-0 Fountain Gate mchezo wa Ligi Kuu Bara.
Septemba 20 2025, Gaborone United 0-1 Simba SC, Ligi ya Mabingwa Afrika.
Septemba 16 2025, Yanga SC 1-0 Simba SC, Ngao ya Jamii.
Septemba 10 2025, Simba SC 2-0 Gor Mahia mchezo wa kimataifa wa kirafiki.