Jumapili Ya Moto Ulaya: Serie A, EPL, La Liga, Bundesliga na Ligue 1 Kitawaka!

Kaa tayari kupata burudani ya soka safi kuanzia mchana wa leo kutoka kwenye ligi bora Duniani huku Meridianbet ikiongoza kwa kutoa odds tamu na promosheni za kuvutia kwa kila mechi. Kwa mashabiki wa kubashiri, huu ndio wakati wa kuchukua nafasi na kufurahia ushindi.

Ndani ya Serie A, mapambano yanaanza mapema kwa mtanange mkali kati ya Udinese na Cagliari saa 13:30. Baadaye, Bologna watakipiga na Pisa huku Fiorentina wakichuana na AS Roma saa 16:00. Saa 19:00, Napoli wataingia dimbani dhidi ya Genoa kabla ya Juventus na AC Milan kufunga pazia kwa mechi ya kukata na shoka. Meridianbet inakupa machaguo ya kipekee.

England nayo haitulii. Mashabiki wa EPL watashuhudia mechi kali kama Aston Villa dhidi ya Burnley, Everton wakikabiliana na Crystal Palace, Newcastle dhidi ya Nottingham Forest, na Wolves wakipambana na Brighton. Brentford nao wanakutana na Manchester City katika mtanange wa kuvutia. Bashiri kwa odds za ushindi, magoli, na machaguo mengine mengi.

Meridianbet haiishii hapa, kuna michezo mingine ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds kabambe zinazokupa nafasi ya kuongeza kipato kila siku. Kujiunga ni rahisi mno, tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10# na uanze safari yako ya ushindi.

La Liga haibaki nyuma. Mechi ya Deportivo Alaves dhidi ya Elche itafungua dimba, ikifuatiwa na Sevilla dhidi ya Barcelona. Saa 19:30, Espanyol watacheza na Real Betis huku Real Sociedad wakimenyana na Rayo Vallecano. Usiku, Celta Vigo watakipiga na Atletico Madrid. Kila sekunde ya mchezo ni nafasi ya kubashiri kwa ushindi na Meridianbet.

Nchini Ujerumani, Bundesliga inatoa burudani ya kipekee. VfB Stuttgart wanawakaribisha FC Heidenheim, Hamburger SV wanachuana na Mainz 05, na Borussia M’gladbach wapo nyumbani dhidi ya Freiburg. Odds za Meridianbet zinakupa faida ya kipekee kwa kila bashiri.

Ligue 1 nayo inawasha moto. Lyon wanakutana na Toulouse, AS Monaco dhidi ya Nice, Le Havre wakicheza na Rennes, na Strasbourg dhidi ya Angers. Mechi ya kufunga siku ni Lille dhidi ya Paris Saint-Germain, burudani ya usiku kwa mashabiki wa soka na kubashiri. Meridianbet inakupa nafasi ya kubashiri kila sekunde ya mchezo kwa odds za kifalme.

Mechi ni nyingi kwa siku ya leo na burudani ipo ya kutosha huku fursa za ushindi kupitia Meridianbet zikiwa njenje.