FT: Simba SC vs Gaborone
Dakika 9 zimeongezwa
Uwanja wa Mkapa, Ligi ya Mabingwa Afrika
Dakika ya 90 Rushine anaokoa hatari
Dakika ya 88 Thathayaone Witnes njano kwa kumchezea faulo Anthon Mligo
Dakika ya 85 Kagoma anapiga faulo inaokolewa na mlinda mlango Thabo
Dakika ya 81 Iven Kamrepa ameonyesha kadi ya njano kwa kumchezea faulo Morice
Dakika ya 79 Mukwala anakutwa katika mtego wa kuotea
Dakika ya 78 Thomas Chideu in Omohiry Ramwagi out jea Gaborone United
Dakika ya 76 Camara anakwenda nje akiwa kwenye machela baada ya maumivu nafasi inachukuliwa na Yakoub Suleiman, Kibu Dennis in dakika ya 77 out Mpanzu
Dakika ya 72 Mutale in out Ahoua
Dakika ya 71 njano Camara
Dakika ya 70 Thabo Maponda jaribio lake linakwenda nje ya lango
Dakika ya 69 Katenda Gora anaokoa hatari
Dakika ya 68 Kapombe anarusha
Dakika ya 65 Kapombe anaokoa hatari
Dakika ya 57 Disele anapewa jukumu la kupiga penati baada ya Karamou kusababisha penati na anaonyeshwa kadi ya njano Chamou
Dakika ya 54 Jonathan Sowah anakwenda nje anaingia Steven Mukwala
Kagoma okoa hatari dakika ya 52
Dakika ya 52 Kapombe anarusha kuelekea lango la Gaborone United
Dakika ta 50 Jonathan Sowah anaonyeshwa kadi ya njano
Dakika ya 49 Jean Ahoua anakosa nafasi ya dhahabu akiwa na mpira
Dakika ya 47 Morice na Ahoua najaribio yao yanakwenda nje ya lango
Dakika ya 46 Gola Tatenda anampa pasi kipa Thabo
Dakika 45 Gaborone wanafanya mabadiliko Thabo Maponda anaigia Sheikh anatoka
Mapumziko
Simba SC 1-0 Gaborone United
Goooooal
Jean Ahoua anafunga goli la kuongoza kwa Simba SC dakika ya 45 zinaongezwa dakika 4
Simba SC wanapata penati…
Dakika ya 44 Jean Ahoua anapewa penati
Dakika ya 41 Sowah anafanya jaribio linaokolewa, Morice anachezewa faulo mwamuzi anaamua penati ipigwe faida kwa Simba SC dakika ya 42
Dakika ya 40 Gaborone United wanapiga pasi ndani ya 18 kunakuwa hakuna mchezaji wa timu yao
Dakika ya 39 Jonathan Sowah anakutwa katika mtego wa kuotea
Dakika ya 34 Camara anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 33 Sowah anacheza kwa Kamanyani
Dakika ya 32 Kamanyani anafanya jaribio la hatari kwa Simba SC linaokolewa na Camara
Dakika ya 31 Mligo anapoteza mpira
Dakika ya 30 Jean Ahoua anazuiwa
Dakika ya 29 mwamuzi Mohamed Mussa anamuonyesha kadi ya njano Alford Velaph kwa kumchezea faulo Morice
Dakika ya 29 nahodha wa Gaborone Disele anaokoa
Dakika ya 28 Thabo mlinda mlango wa Gaborone anaanzisha mashambulizi
Dakika ya 28 Morice anatoa pasi fupi kwa Mpanzu
Dakika ya 27 Gaborone wanafanya jaribio linakwenda nje ya lango
Dakika ya 25 Gaborone wanafanya jaribio linakwenda nje ya lango
Dakika ya 15 Simba SC wanapata kona
Na Lunyamadzo Mlyuka Mtunzi wa Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu anaripoti