Huu ni mwezi wa kujikusanyia pesa tu, yaani ukiwa na Meridianbet basi jua umechagua kushinda kila siku kwani wanakutafutia kila namna ya kuhakikisha unanufaika kwa kuwa mwanafamilia wa kampuni hii namba moja ya ubashiri nchini. Na sasa wamekuja na mpya kabisa, Cheza Win&Go bila hofu yeyote ya kupoteza na endapo itatokea umepoteza tiketi yako unapatiwa rejesho la 10% ya pesa yako kwa siku inayofuata. Jisajili na Meridianbet ufurahie bonasi hii.
Kwa mara nyingi sana, Meridianbet imekuwa ikitoa promosheni na bonasi nyingi sana kwenye michezo tofauti tofauti kama vile mizunguko ya bure, Bonasi za ukaribisho kwa wateja wapya, na zawadi kubwa kwa wanaotumia mitandao ya simu kuweka salio kwenye wallet zao pamoja na promosheni nyingine nyingi kila kukicha.
NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz
Kwenye mchezo huu wa Win&Go kunakua na mipira 48 na utatakiwa uchague mipira 6-10, kisha mfumo utachezesha droo ya ushindi na utaibuka mshindi endapo namba ulizozichagua zitatokea kwenye droo hiyo. Kinachoufanya mchezo huu kuwa na mvuto zaidi ni hali ya kwamba mshindi anapatikana kila baada ya dakika tano za droo, hivyo kukupa nafasi ya kujishindia kwa uharaka sana.
Lakini kuna kitu cha kipekee Zaidi, Win&Go ina “gift positions” maeneo maalum kwenye droo mfano namba 10 na 37) ambayo, ikiwa moja ya namba zako iko humo, unapata dau lako uliloliweka hata kama hukushinda. Na ikiwa namba zako mbili ziko kwenye hizo “gift positions,” basi ushindi wako unakuwa mara nne. Pia, kuna “Golden Rounds” ambapo unaweza kushinda mara dufu.
Kuanzia 01.07.2025 hadi 30.07.2025, ukifikia hasara ya angalau TSh 1,000 kwa siku, utapata 10% ya pesa yako uliyoweka, na ofa inaenda hadi kufikia TSh 15,000 kwa siku. Hii inamaanisha unaweza kucheza kwa uhakika zaidi bila kuhofia hasara, na pia kuingiza kiwango kikubwa cha pesa endapo namba zako zitashinda.
Usiache nafasi hii ikupite. Jisajili mapema sana na meridianbet kuiwahi bonus hii kisha shiriki kwenye mchezo pendwa wa Win&Go na uandike historia ya ushindi na familia ya meridianbet, mabingwa kabisa nchini Tanzania.