Jumatano ya leo ya mwezi Julai ya tarehe 16, Meridianbet ilifunga safari mpaka Africana huko Mbezi Beach na kutoa msaada wa Reflectors na Helmets kwa bodaboda wa eneo hilo na kuonesha nia yao ya kuwajali na kutambua umuhimu wao kwa jamii yetu inayotuzunguka.
Meridianbet imeendelea kuonesha umuhimu wake kwa jamii yake kwani siku ya leo iliamua kufika Mbezi Beach Africana kwaajili ya kuwashika mkono dereva Bodaboda kwa kutoa msaada wa Reflectors pamoja na Helmet na hii yote ni kutambua mchango wao wanaoufanya hasa katika sekta ya usafiri.
Jiji la Dar es salaam linakumbwa na changamoto kubwa ya usafiri hivyo Bodaboda imekuwa na mchango mkubwa sana hasa katika kurahisisha usafiri, hivyo kuwajali kwa kuwapelekea vifaa muhimu wakati wa kazi zao inaonekana kama kutambua wanachokifanya na pia hii ni kazi yao ambayo wengi wao hutumia kuendesha familia zao kila siku.
Safari hiyo ya kuwafikia Bodaboda hao ilianzia makao makuu ya Meridianbet huku Upanga ambapo msafara huo ulifika moja kwa moja Mbezi Beach Africana na kupokelewa kwa mapokezi makubwa sana kwani Helmets na Reflectors zilikuwa zikihitajika kwa ukubwa zaidi kwa bodaboda hao.
Kwa kutoa vifaa hivyo, Meridianbet pia imeonesha umuhimu wa bodaboda hao kuvaa helmets na Reflectors hizo ambazo mara nyingi zinawasaidi kujikinga na ajali za barabarani hasa nyakati za usiku na kwenye misongamano mikubwa ya magari.
Akizungumza wakati wa tukio hilo, mwakilishi wa Meridianbet amesema, “Tunatambua mchango mkubwa wa madereva wa Boda Boda katika uchumi na huduma za usafirishaji wa haraka. Kama sehemu ya kurudisha kwa jamii, tumeona ni muhimu kuunga mkono jitihada za kuhakikisha usalama wao barabarani. Tunaamini reflectors na helmets zitapunguza hatari za ajali na kuongeza mwamko wa kuvaa vifaa kinga.”
Baada ya kupokea msaada huo Bodaboda wa eneo hilo waliishurukuru sana Meridianbet kwa kuwafikia na kutambua mchango wao kwenye jamii kwani kama inavyofahamika jiji la Dar es salaam ni jiji kubwa sana Tanzania na lina wakazi wengi hivyo kutokana na changmoto za usafiri ambazo wananchi wanakumbana nazo, Bodaboda ndio usafiri mwingine pendwa kabisa amabo hutumiwa na watu kwa kufika kirahisi zaidi.
Ukiachana na hilo pia unaweza kupiga pesa fasta ukicheza michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz
Vilevile Meridianbet inaendelea kuwa mstari wa mbele katika kushiriki shughuli za kijamii zenye lengo la kuboresha maisha ya Watanzania. Hii ni sehemu ya mipango endelevu ya Kampuni katika kusaidia makundi mbalimbali yenye uhitaji na kuchangia maendeleo ya jamii. Jisajili hapa.