Julai hii, Meridianbet imeamua kukufurahisha kwa promosheni ya kipekee itakayobadilisha maisha ya wabashiri wa meridianbet. Kuanzia tarehe 1 hadi 31 Julai 2025, watumiaji wote waliosajiliwa kupitia tovuti au app ya Meridianbet wanapata nafasi ya kuingia kwenye droo maalum na kushinda moja kati ya simu tano mpya aina ya Samsung Galaxy A25.
Ni promosheni inayowalenga wachezaji wote, iwe unapenda kubashiri mechi za michezo au kucheza kasino mtandaoni. Unachotakiwa kufanya ni kuweka dau na kucheza, na kila dau unaloweka linakukaribisha hatua moja karibu na ushindi. Kadri unavyoendelea kubashiri, ndivyo unavyozidi kuongeza nafasi zako za kushinda.
NB; Meridianbet haikuachi nyuma. Mbali na Super Heli, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.
Washindi watapatikana kupitia droo maalum itakayofanyika tarehe 1 Agosti 2025, na majina yao yatatangazwa siku hiyohiyo. Hakikisha taarifa zako za akaunti zipo sahihi, kwa sababu hatutaki ushindi wako upotee kwa makosa madogo. Promosheni hii inaruhusu mtumiaji mmoja tu kwa kila anuani, kuhakikisha kila mmoja anashiriki kwa haki. Kumbuka pia, Turbocash na system tickets hazihusiki katika ofa hii.
Fikiria furaha ya kuweka dau chache, kufurahia michezo unayopenda, na ghafla unapata taarifa kuwa umeshinda simu mpya kabisa ya Samsung Galaxy A25, kwa sababu tu uliamua kucheza na Meridianbet. Hii si ndoto, ni fursa halisi.
Meridianbet inahifadhi haki ya kubadilisha au kusitisha promosheni hii wakati wowote. Kadri unavyoanza mapema, ndivyo unavyokuwa na nafasi kubwa zaidi ya kushinda. Vigezo na masharti ya Meridianbet vinatumika, hivyo soma kwa makini ili uwe na taarifa kamili.
Tembelea meridianbet, jisajili au ingia kwenye akaunti yako, weka dau, cheza michezo yako ya kasino au michezo ya kubashiri, na huenda simu ya ndoto zako ikawa yako mwishoni mwa mwezi huu.