Leo hii mechi za pesa zinaendelea na Meridianbet wapo tayari kuhakikisha hawakuachi hivyo hivyo, na ndio maana wameamua kukupatia ODDS za kibabe na machaguo zaidi ya 1000 kwenye mechi za leo
EPL mechi kali Ijumaa ya leo ni hii ya Chelsea vs Manchester United ambapo tofauti ya pointi kati yao ni pointi 24. Mechi ya mwisho iliyopita walitoshana nguvu, huku The Blues wakihitaji huu ushindi wa leo kwa hali na mali kujiweka sawa kwenye mbio za kucheza Ligi ya Mabingwa msimu ujao. Wote wametoka kupoteza mechi zao zilizopita. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 1.47 kwa 6.20. Jisajili hapa.
Mtanange mwingine ni huu wa Aston Villa dhidi ya Tottenham Hot Spurs huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 6 huku wageni wao wakiwa nafasi ya 17. Mara ya mwisho kukutana timu hizi mbili, Villa alipasuka vibaya mno. Je leo hii vijana wa Unai kulipa kisasi nyumbani leo?. Mechi hii imepewa ODDS 1.38 kwa 7.40. Bashiri hapa.
Meridianbet kukupatia mkwanja leo hii ambapo mechi za ushindi zipo kibao. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, Keno, Poker, Roullette, Keno, na mingine kibao.
SAUDI PROFESSIONAL LEAGUE kuna mechi kadhaa zitakazoendelea ambapo Al Fateh atakipiga dhidi ya Al Hilal ambao wapo nafasi ya 2 huku mwenyeji yeye akiwa nafasi ya 13. Mechi ya mwisho kukutana, mwenyeji aliambualia kipigo cha mbwa mwizi. Je leo hii mgeni ataendeleza ubabe wake tena?. 4.80 kwa 1.52 ndio ODDS za mechi hii. Tandika jamvi hapa.
Al Orobah ataumana vikali dhidi ya Al Khaleej ambao mechi iliyopita, akipigika halikadhalika kwa mwenyeji wake naye alipoteza. Pointi 3 ni muhimu kwa mwenyeji kutokana na nafasi ya chini aliyopo. Yupo nafasi ya 16 huku akishinda leo atapanda hadi nafasi ya 14. Je beti yako unaiweka wapi kwa timu hizi mbili?. 2.04 kwa 3.20 ndio ODDS za mechi hii. Suka jamvi hapa.
Ronaldo na Al Nassr watakuwa nyumbani kusaka ushindi dhidi ya Al Taawoun ambao kushinda mechi hii wamepewa ODDS 10 kwa 1.24. Vijana wa Stefano Pioli wanahitaji ushindi leo hii wapande hadi nafasi ya 3. Je nani kuibuka mbabe leo?