Simba Wameendelea kuvila viporo bila ndimu baada ya kuibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya JKT Tanzania katika dimba la Meja Jenerali Isamuhyo na kusogea mpaka alama 7 nyuma ya vinara Yanga Sc.
FT: JKT Tanzania 0-1 Simba Sc
⚽ 45+6’ Ngoma
MSIMAMO NBCPL 🔝4️⃣
🥇 Yanga Sc — mechi 26 — pointi 70
🥈 Simba Sc — mechi 24 — pointi 63
🥉 Azam Fc — mechi 27 — pointi 54
4️⃣ Singida — mechi 27 — pointi 53