Mchezo wa Derby ya Cairo kati ya Al Ahly dhidi ya Zamalek umeshindwa kuendelea baada ya Al Ahly kushindwa kutokea uwanjani huku mwamuzi Mahmoud Bassiouni akimaliza mechi baada ya kuwasubiria kwa dakika 20 bila kuonekana.
Maamuzi amepuliza kipyenga kuashiria mchezo umeisha huku Zamalek wakipewa alama tatu na magoli matatu.