Liverpool imesukumizwa nje ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kufuatia kipigo cha penalti 4-1 dhidi ya Paris Saint-German wenye hatua ya 16 bora katika dimba la Anfield.
FT: Liverpool 🏴 0-1 🇫🇷 PSG (Agg. 1-1)
⚽ 12’ Dembele
MATUTA:
Liverpool:
✅ Salah
❌ Nunez
❌ Jones
PSG:
✅ Vitinga
✅ Ramos
✅ Dembele
✅ Doue