SIMBA YATINGA HATUA YA 16 BORA YA MICHUANO YA KOMBE LA SHIRIKISHO LA CRDB

Simba wametinga hatua ya 16 bora ya michuano ya kombe la Shirikisho la CRDB baada ya kuibuka na ushindi wa 3-0 dhidi ya TMA Stars ya Arusha katika dimba la KMC Complex.

FT: Simba Sc 3-0 TMA Stars
⚽ 16’ Nouma
⚽ 19’ Sabilo (og)
⚽ 75’ Ateba