VIDEO: ISHU SIMBA KUPATA POINTI MOJA MBELE YA AZAM/ MAREFA SIO WABAYA

RICARO Momo mchambuzi wa mpira Bongo ameweka wazi kuwa waamuzi wa Bongo sio wabaya ila wanafanywa kuwa wawe wabaya akiwa na simulizi kuwa kuna mwamuzi aliwahi kulala kwenye hotel ambayo kwa posho yake hawezi kulala. Kwa upande wa Simba kupata pointi moja mbele ya Azam FC sio kosa la Fadlu Davids bali ni ubora wa timu kukutana ndani ya uwanja kwa muda wote wa dakika 90.