SportsAMEKABIDHIWA JEZI NZITO HUYU MWAMBA NDANI YA UNYAMANI Saleh4 hours ago01 mins MZEE wa Waa Steven Mukwala amekabidhiwa jezi nzito ndani ya timu hiyo kutokana na kasi yake kutokuwa kwenye ubora ndani ya uwanja kwenye mechi za ushindani ndani ya msimu wa 2024/25. Post navigation Previous: YANGA IMEMPOTEZA MNYAMA NAMNA HII