MIONGONI mwa mazoezi ambayo wamekuwa wakifanya mastaa wa Simba ni pamoja na yale kujipima kwenye upande wa spidi kama ambavyo aliwafanyia Kocha Mkuu Fadlu Davids kwenye maandalizi ya mechi za kimataifa Uwanja wa Mkapa miongoni mwa mastaa hao ni Che Malone, Chasambi, Ahoua.